Tarehe ya Kuwekwa: October 30th, 2024
Halmashauri ya Wilaya ya Songea imeadhimisha Siku ya Lishe Kitaifa katika Kata ya Mpitimbi, ikitoa wito kwa wananchi kuzingatia lishe bora kama msingi wa afya na maendeleo ya jamii.
...
Tarehe ya Kuwekwa: October 25th, 2024
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea, Ndugu Petter Miti, amezindua mafunzo maalum ya utoaji wa mikopo ya asilimia kumi inayotokana na mapato ya ndani kwa Watumishi nga...
Tarehe ya Kuwekwa: October 18th, 2024
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea, ambaye pia ni Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Peramiho, Bi Elizabeth Gumbo, amefanya kikao na wadau wa vyama vya siasa kutoka Halmashauri hiyo...