Tarehe ya Kuwekwa: April 22nd, 2023
KIONGOZI wa Mbio za Mwenge Kitaifa Ndugu Abdalla Shaib Kaim amezindua mradi wa chemchem ya asili iliyoboreshwa iliyopo katika Kijiji cha Mpitimbi B ambacho kimetekelezwa na wanufaika wa mradi wa TASAF...
Tarehe ya Kuwekwa: April 22nd, 2023
MKUU wa Wilaya ya Songea Mheshimiwa Wilman Kapenjama Ndile akikabidhiwa Mwenge wa Uhuru kutoka kwa mkimbiza Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2023 katika uwanja wa shule ya msingi Uyahudini.
Mwenge wa Uhuru ...
Tarehe ya Kuwekwa: April 22nd, 2023
MWENGE wa Uhuru umeridhishwa na mradi wa Soko la Peramiho A ambalo limegharimu fedha kiasi cha Zaidi ya milioni 205 kutekeleza ujenzi wa Soko, vizimba, vyoo matundu sita Pamoja na guba.
Kiongozi wa...