• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Songea District Council
Songea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Uongozi
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
  • Utawala
    • Eneo la Utawala
    • Braza la Madiwani
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
    • Vitengo
      • Internal Auditor
      • TEHAMA
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Albam ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi ya Afya

WANANCHI waanza kunufaika na uvunaji wa misitu ya asili

Tarehe ya Kuwekwa: December 20th, 2021

Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea Mkoani Ruvuma wameanza kunufaika na uvunaji wa mazao ya misitu ya asili kwa kuchana mbao na mazao yake.

Akizungumza kwaniaba ya Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji cha Ndongosi Omari Nassoro amesema wameanza kupata mafanikio baada ya kupewa mafunzo na taratibu za kuhifadhi misitu ya asili kutoka kwenye Program ya kuboresha mnyororo wa thamani wa mazao ya misitu (FORVAC).

Nassoro amesema licha ya kupatiwa mafunzo hayo FORVAC imewasaidi mashine ya kisasa kwaajili yakuchana mbao ambayo wanaitumia katika kazi hiyo kwa uangalizi na usimamizi wa Halmashauri.


Naye Mwenyekiti  wa kamati ya mali asili wa Kijiji cha Ndongosi Lukas Banda amesema katika kuhakikisha msitu huo unabaki salama kamati imegawana majukumu ya kulinda msitu kwakufanya doria kwania ya kuwabaini waharibifu wa misitu na kuwachukulia hatua wanaobainika.

Banda amesema pamoja na kunufaika na uvunaji wa misitu hiyo misitu hiyo wananufaika nayo kwakufuga nyuki na kuvuna asali.

Kwaupande wake Afisa Misitu wa Halmashauri ya Wilaya hiyo Zakayo Kaunda amesema  miti inayotakiwa kuvunwa ni yenye ukubwa wa sintimeta 45 na kuendelea.

Halmashauriya Wilaya ya Songea inajumla ya misitu ya hifadhi 11 kati ya misitu hiyo misitu mitatu ambayo misitu ya Lihiga, Mitumbati na Lupagalo  wananchi wameanza kunufaika nayo kwa kuvuna mazao ya misitu.

Imeandaliwa na kuandikwa na

Jacquelen Clavery.

Songea DC.

 

Matangazo

  • Tangazo la Kuitwa kwenye Usaili Julai 2022 June 22, 2022
  • TANGAZO LA FURSA ZA KAZI KATIKA SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA LA KUHUDUMIA WAKIMBIZI (UNHCR) August 26, 2022
  • TANGAZO October 12, 2022
  • TANGAZO LA KAZI October 13, 2022
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • MIRADI ya Ajira ya muda inayotekelezwa na TASAF yatatua changamoto mbalimbali

    May 29, 2023
  • TIMU ya Wataalamu yafanya ufuatiliaji wa miradi Songea DC

    May 27, 2023
  • Timu ya Wataalamu yafanya ufuatiliaji wa miradi ya ajira ya muda inayotekelezwa na Walengwa wa TASAF.

    May 27, 2023
  • YALIYOJILI katika kikao cha Baraza cha robo ya tatu Januari-Machi 2023 Songea DC

    May 14, 2023
  • Ona Zote

Video

NGOMA YA LIZOMBE
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Tunduru
  • Tovuti ya Halmashauri ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Nyasa

Tovuti Muhimu

  • Utumishi wa umma
  • Baraza la mitihani la Taifa
  • National Website
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya ajira
  • Tovuti kuu ya serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Songea

    Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea

    Simu: 2602320 / 2602176

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa