• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Songea District Council
Songea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Uongozi
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
  • Utawala
    • Eneo la Utawala
    • Braza la Madiwani
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
        • Maliasili
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ardhi
      • Fedha na Uhasibu
    • Vitengo
      • Internal Auditor
      • TEHAMA
      • TASAF
      • Ugavi na Manunuzi
      • Usafi Mazingira na Taka ngumu
      • Mawasiliano Serikalini
      • Maendeleo ya Miundombinu Mjini na Vijijini
      • Mawasiliano Serikalini
      • Sheria
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Albam ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi ya Afya
    • Boost
    • Swash
  • Madiwani
  • Tarafa
  • Fursa za Uwekezaji
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari

VIKUNDI 50 VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU WANUFAIKA NA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KUTOKA HALMASHAURI YA WILAYA Y SONGEA

Tarehe ya Kuwekwa: January 16th, 2025

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea Bi Elizabeth Gumbo, anasema  utoaji wa Mikopo ya asilimia 10/% kwa Vijana, Wanawake na Watu wenye ulemavu, vikundi 50 mpaka sasa vishapata mikopo

Bi Elizabeth amesema katika Halmashauri hiyo Kwa mwezi Jan, 2025 wamefanikiwa kutoa mikopo zaidi ya shilingi milioni 500 kwa Vikundi 50 vya wajasiriamali kati ya 100 walioomba.                                          


Mkurugenz Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea, ameyasema hayo hii jana Jan 15,2025 akizungumza kupitia Selous FM kwenye kipindi Cha Kijiwe Cha Kahawa  ambapo ameeleza mchakato wa utoaji wa Mikopo kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Songea ulianza tangu Mwezi Septemba, 2024 dirisha la Maombi lilifunguliwa.                                                          


Bi Gumbo ametoa pia tathmini ya zoezi la uboreshaji wa daftari lakudumu la mpigakura  Hadi kufika sasa waliojitokeza kuboresha taarifa zao pamoja nakujiandikisha ni wastani wa asilimia 50% Vijana wanatajwa kujitokeza kwa wingi,kukiwa na vituo 230 vyakujiandikisha.                      


 Aidha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea Bi Elizabeth Gumbo amezungumzia kuhusu sekta ya Elimu akimshukuru Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha  miundombinu ya elimu inaboreshwa, amesema katika wakati huu ambapo shule zimefunguliwa ni asilimia 75% ya wanafunzi wameripoti Shuleni ndani ya Halmashauri yake, ametumia nafasi hiyo kuwataka wazazi na walezi kuhakikisha mahudhurio ya wanafunzi yanaongezeka Shuleni.          


Kuhusu utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo inayofikia zaidi ya 70 Hadi 80 anasema  "ipo  iliyokamilika, ipo  iliyopo kwenye msingi lakini iliyo mingi imenyanyuka  ".

Matangazo

  • Tangazo la Kuitwa kwenye Usaili Julai 2022 June 22, 2022
  • TANGAZO LA FURSA ZA KAZI KATIKA SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA LA KUHUDUMIA WAKIMBIZI (UNHCR) August 26, 2022
  • TANGAZO LA KAZI October 13, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021. December 18, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • MKIMBIZA MBIO ZA MWENGE KITAIFA, AIPONGEZA HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA

    May 11, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI SONGEA DC, LIMEMSHUKURU MHE. RAIS NA WAZIRI WA AFYA KWA KUIHESHIMISHA HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA

    April 29, 2025
  • MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KULA YAMEANZA SONGEA DC

    April 29, 2025
  • MHE . JENISTA MHAGAMA AZINDUA MADARASA 27 NA VYOO MATUNDU 44, SONGEA DC

    March 16, 2025
  • Ona Zote

Video

NGOMA YA LIZOMBE
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Tunduru
  • Tovuti ya Halmashauri ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Nyasa

Tovuti Muhimu

  • Utumishi wa umma
  • Baraza la mitihani la Taifa
  • National Website
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya ajira
  • Tovuti kuu ya serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Songea

    Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea

    Simu: 2602320 / 2602176

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa