• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Songea District Council
Songea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Uongozi
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
  • Utawala
    • Eneo la Utawala
    • Braza la Madiwani
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
    • Vitengo
      • Internal Auditor
      • TEHAMA
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Albam ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi ya Afya
    • Boost
    • Swash
  • Madiwani
  • Tarafa
  • Fursa za Uwekezaji
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari

TIMU ya Wataalamu yafanya ufuatiliaji wa miradi Songea DC

Tarehe ya Kuwekwa: May 27th, 2023

TIMU ya wataalamu wamefanya ufuatiliaji na ukaguzi wa miradi inayotekelezwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Songea.

Ufuatiliaji huo umefanyika katika Kata ya Magagula ambapo kuna ujenzi wa nyumba mbili za Watumishi wa kituo cha Afya zinazojengwa mbili kwa moja, ujenzi huo unatekelezwa kwa fedha kiasi cha shilingi milioni 120 kutoka Serikali Kuu.

Vilevile ufuatiliaji huo umefanyika katika Zahanati ya Kijiji cha Mipeta ambapo Zahanati hiyo ilianza kujengwa kwa nguvu za Wananchi na baadae ilipokea fedha kiasi cha shilingi Milioni 50 kutoka Serikali Kuu kwaajili ya kukamilisha ujenzi huo.

Matangazo

  • Tangazo la Kuitwa kwenye Usaili Julai 2022 June 22, 2022
  • TANGAZO LA FURSA ZA KAZI KATIKA SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA LA KUHUDUMIA WAKIMBIZI (UNHCR) August 26, 2022
  • TANGAZO October 12, 2022
  • TANGAZO LA KAZI October 13, 2022
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WANUFAIKA UPATIKANAJI WA HATI ZA VIWANJA KWA URAHISI

    September 27, 2022
  • SONGEA DC WAKABIDHIWA VIFAA VYA MICHEZO

    September 14, 2023
  • SIKU YA WAZEE DUNIANI, "UTHABITI WA WAZEE KWENYE DUNIA YENYE MABADILIKO"

    September 26, 2023
  • MAGHALA KUMI NA MOJA (11) YA CHAKULA KUJENGWA HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA

    September 22, 2023
  • Ona Zote

Video

NGOMA YA LIZOMBE
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Tunduru
  • Tovuti ya Halmashauri ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Nyasa

Tovuti Muhimu

  • Utumishi wa umma
  • Baraza la mitihani la Taifa
  • National Website
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya ajira
  • Tovuti kuu ya serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Songea

    Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea

    Simu: 2602320 / 2602176

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa