• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Songea District Council
Songea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Uongozi
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
  • Utawala
    • Eneo la Utawala
    • Braza la Madiwani
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
        • Maliasili
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ardhi
      • Fedha na Uhasibu
    • Vitengo
      • Internal Auditor
      • TEHAMA
      • TASAF
      • Ugavi na Manunuzi
      • Usafi Mazingira na Taka ngumu
      • Mawasiliano Serikalini
      • Maendeleo ya Miundombinu Mjini na Vijijini
      • Mawasiliano Serikalini
      • Sheria
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Albam ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi ya Afya
    • Boost
    • Swash
  • Madiwani
  • Tarafa
  • Fursa za Uwekezaji
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari

Makabidhiano mradi wa visima vya pampu

Tarehe ya Kuwekwa: May 28th, 2018

 MAKABIDHIANO YA MRADI WA VISIMA VYA PAMPU YA MKONO

Mbunge wa jimbo la Peramiho na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Ajira,kazi,vijana,na watu wenye Ulemavu Mh Jenista Joackimu Mhagama amekabidhi mradi wa sima vya pampu ya mkono kwa Halmashauri ya Wilaya ya songea vyenye thamani ya shiligi bilioni 1 na milioni 700

Amekabidhi mradi huo hivi karibuni katika ofisi ya idara ya maji ya zamani ziLsizopo Halmashauri ya maspaa ya songea.

Mh Mhagama amesema mradi huo wa visima utatoa msaada mkubwa wa kutatua kero ya maji kwa wananchi  wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea.

Ametoa wito kwa Mkuugenzi Mtendaji wa halmashauri ya Songea Bw Simon Bulenganija kuhakikisha wanatunza mradi huo ili uweze kudumu na uendelee kutoa huduma kwa jamii.

Aidha mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea Bw simoni Bulenganija amemshukuru Mh Waziri kwa jitihada kubwa anazozifanya  za kuisadia jamii katika kutatua kero za wananchi ikiwemo kero ya maji na kuhaidi kuutunza vema mradi wa maji.

Mradi wa visima hivyo umefadhiliwa na shirika la Help for Underseverd Comminities (HUC) Shirika linalosaidia jamii isiyojiweza.

Imeandaliwa na;

 

Jacquelen Clavery

Habari, Mawasiliano na Mahusiano Kazini

Matangazo

  • Tangazo la Kuitwa kwenye Usaili Julai 2022 June 22, 2022
  • TANGAZO LA FURSA ZA KAZI KATIKA SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA LA KUHUDUMIA WAKIMBIZI (UNHCR) August 26, 2022
  • TANGAZO LA KAZI October 13, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021. December 18, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA YAPONGEZWA KWA KUPATA HATI SAFI KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2025

    June 18, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA YATINGA KWA KISHINDO UMISETA TAIFA

    June 18, 2025
  • WAKULIMA WAASWA KUTUMIA MBINU SAHIHI ZA UVUNAJI WA MAHINDI ILI KUPUNGUZA HASARA

    June 17, 2025
  • Siku ya Mtoto wa Afrika: “Songea Dc yalenga kuboresha mazingira ya makuzi bora kwa mtoto kijamii, kielimu na kiafya"

    June 16, 2025
  • Ona Zote

Video

NGOMA YA LIZOMBE
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Tunduru
  • Tovuti ya Halmashauri ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Nyasa

Tovuti Muhimu

  • Utumishi wa umma
  • Baraza la mitihani la Taifa
  • National Website
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya ajira
  • Tovuti kuu ya serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Songea

    Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea

    Simu: 2602320 / 2602176

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa