• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Songea District Council
Songea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Uongozi
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
  • Utawala
    • Eneo la Utawala
    • Braza la Madiwani
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
        • Maliasili
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ardhi
      • Fedha na Uhasibu
    • Vitengo
      • Internal Auditor
      • TEHAMA
      • TASAF
      • Ugavi na Manunuzi
      • Usafi Mazingira na Taka ngumu
      • Mawasiliano Serikalini
      • Maendeleo ya Miundombinu Mjini na Vijijini
      • Mawasiliano Serikalini
      • Sheria
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Albam ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi ya Afya
    • Boost
    • Swash
  • Madiwani
  • Tarafa
  • Fursa za Uwekezaji
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari

KIKAO CHA LISHE CHAAZIMIA ELIMU YA LISHE KUTOLEWA KWENYE MIKUTANO YA HADHARA

Tarehe ya Kuwekwa: May 9th, 2024


 Kikao cha lishe Bora kwa kipindi cha Robo ya Tatu kwa mwaka wa Fedha 2023/2024, kilichokaa tarehe 8/05/2024 katika ukumbi wa Halmashauri Kimeazimia mikutano yote itakayofanyia kwenye Halmashauri hiyo kutolewa elimu ya Lishe Bora  kwa wananchi.

Kikao hicho ambacho huratibiwa na Divisheni ya Afya, kwa kuambatata na wataalam wengine, ikiwemo watendaji wa kata zote 16 za Halmashauri ya Wilaya ya Songea kiliongozwa na Katibu Tawala wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea Ndg. Mtela Mwampamba.

Elimu ya lishe bora na ulaji unaofaa indeekuolewa  kwa jamii kupitia Mikutano yote ya Hadhara,  Makongamano, Semina na Mashuleni pamoja na umuhimu wa kufanya mazoezi kwa jamii yetu yote. Mtela Mwampamba Katibu Tawala Wilaya ya Songea  

Akifunga kikao hicho Ndg. Mwampamba alisema “tumekubaliana kwamba sasa na itabidi elimu ya Lishe bora itolewe kwa wananchi, hivyo naomba muandike barua kwa watendaji wote na wataalamu kuwa na kipengele cha Lishe bora kwenye kila mikutano yao ya ndani na nje.

Tumuombe pia Mbunge wa Jimbo la Peramiho na Kamatoi ya Siasa ya Wilaya kuweka kipembele cha Lishe kwenye mikutano yao ili kuhakikisha wananchi wanapata elimu juu ya Lishe bora”

Aidha walisistiza pia walimu wakuu wa Sekondari na Msingi, kuhakikisha wanalima bustani za mboga mboga kwenye maeneo yao ya shule ili kuwa na uhakika wa mboga za majaji kwa wanafunzi.

Matangazo

  • Tangazo la Kuitwa kwenye Usaili Julai 2022 June 22, 2022
  • TANGAZO LA FURSA ZA KAZI KATIKA SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA LA KUHUDUMIA WAKIMBIZI (UNHCR) August 26, 2022
  • TANGAZO LA KAZI October 13, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021. December 18, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA YAPONGEZWA KWA KUPATA HATI SAFI KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2025

    June 18, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA YATINGA KWA KISHINDO UMISETA TAIFA

    June 18, 2025
  • WAKULIMA WAASWA KUTUMIA MBINU SAHIHI ZA UVUNAJI WA MAHINDI ILI KUPUNGUZA HASARA

    June 17, 2025
  • Siku ya Mtoto wa Afrika: “Songea Dc yalenga kuboresha mazingira ya makuzi bora kwa mtoto kijamii, kielimu na kiafya"

    June 16, 2025
  • Ona Zote

Video

NGOMA YA LIZOMBE
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Tunduru
  • Tovuti ya Halmashauri ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Nyasa

Tovuti Muhimu

  • Utumishi wa umma
  • Baraza la mitihani la Taifa
  • National Website
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya ajira
  • Tovuti kuu ya serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Songea

    Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea

    Simu: 2602320 / 2602176

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa