• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Songea District Council
Songea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Uongozi
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
  • Utawala
    • Eneo la Utawala
    • Braza la Madiwani
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
    • Vitengo
      • Internal Auditor
      • TEHAMA
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Albam ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi ya Afya

KAYA masikini za lalamikia utaratibu wa kulipwa kwa njia ya mitandao.

Tarehe ya Kuwekwa: April 20th, 2022

Walengwa wa kaya masikini wa halmashauri ya wilaya ya songea mkoani Ruvuma wameulalamikia utaratibu wa kulipwa fedha kwanjia ya mitandao ya simu na banki.

Wameto malalamiko hayo katika mkutano wa hadhara wa walengwa kaya masikini kwa lengo la kujadili changamoto za malipo uliofanyika katika Kata ya Muhukuru,Kijiji cha Muhukuru Barabarani hivi karibuni.

“Tunapenda utaratibu wa zamani uendelee badala ya huu wa sasa ambao haueleweki”,wamesisitiza walengwa hao.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti Mohamed Hamis Nombo na  Sanje Idd Kisomola wamesema baadhi ya walengwa hawezi kutumia mitandao ya   simu kwa usahihi jambo linalowasababishia kukosa malipo na wakati mwingine kudhurumiwa fedha zao.

Wameongeza kwa kusema kutoka na hali ya uzee na kutokuwa na uwezo wa kutembea wamekuwa wakitoa namba zao za siri kwa watu wanaowaamini kuwachukulia malipo, badala yake wamekuwa wakiwazunguka kwakuchukua fedha hizo na kuzitumia kwa manufaa yao na kuwaacha walengwa wakitangatanga.

Kwa upande  Mratibu wa  TASAF wa Halmashauri hiyo Bi.Hossana Ngunge amesema utaratibu wa malipo kupitia mitandao ya simu na benk ulifikiwa baada ya walengwa wa kaya masikini kuzilalamikia kamati ya  usimamizi za mpango kuwa zinawahujumu fedha zao.

Bi.Ngunge ameongeza kwa kusema katika kukabiliana na changamoto hiyo wamejipanga kutoa elimu ya jamii  kuwaelisha walengwa juu umuhimu wa malipo kulipwa kupitia njia ya benki na mitandao.

Amezitaja baadhi ya faida za kulipa kupitia mitandao na benki ni pamoja na walengwa kutumia fedha hizo kwa malengo yaliyokusudiwa na kupanga bajeti ukilinganisha na kulipwa fedha mkoni ambako kunaoneka baadhi ya walengwa kutumia fedha hizo kinyume na malengo.

Imeandaliwa na kuandikwa na

Jacquelen Clavery

Afisa Habari

Songea DC

  

Matangazo

  • Tangazo la Kuitwa kwenye Usaili Julai 2022 June 22, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021. December 18, 2020
  • WAKALA WA KUKUSANYA USHURU WA MAZAO NDANI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA January 06, 2021
  • TANGAZO LA KAZI March 11, 2022
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • KAYA masikini za lalamikia utaratibu wa kulipwa kwa njia ya mitandao.

    April 20, 2022
  • RUWASA kutumia Milioni 848 kumaliza kero ya maji Kijiji cha Parangu

    April 03, 2022
  • CHANJO ya Polio Songea DC yavuka lengo

    March 30, 2022
  • RC Balozi Wilbert Ibuge azindua mikakati ya kuinua kiwango cha taaluma

    March 10, 2022
  • Ona Zote

Video

MADARASA ya UVIKO 19 Halmashauri ya Wilaya ya Songea
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Tunduru
  • Tovuti ya Halmashauri ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Nyasa

Tovuti Muhimu

  • Utumishi wa umma
  • Baraza la mitihani la Taifa
  • National Website
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya ajira
  • Tovuti kuu ya serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Songea

    Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea

    Simu: 2602320 / 2602176

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa