• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Songea District Council
Songea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Uongozi
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
  • Utawala
    • Eneo la Utawala
    • Braza la Madiwani
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
        • Maliasili
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ardhi
      • Fedha na Uhasibu
    • Vitengo
      • Internal Auditor
      • TEHAMA
      • TASAF
      • Ugavi na Manunuzi
      • Usafi Mazingira na Taka ngumu
      • Mawasiliano Serikalini
      • Maendeleo ya Miundombinu Mjini na Vijijini
      • Mawasiliano Serikalini
      • Sheria
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Albam ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi ya Afya
    • Boost
    • Swash
  • Madiwani
  • Tarafa
  • Fursa za Uwekezaji
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari

ELIMU YA UFUGAJI BORA WA NYUKI YATOLEWA KWA KIKUNDI CHA HAPA KAZI TU

Tarehe ya Kuwekwa: November 1st, 2023


Afisa nyuki kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Songea David Kikasi leo ameendesha  mafunzo katika ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Songea ya ufugaji bora wa nyuki kwa kikundi cha HAPA KAZI TU kutoka peramiho.

Akitoa mafunzo hayo amekipongeza kikundi hicho kwa hatua waliyoifikia mpaka sasa kwani wameweza kumiliki mizinga 32 richa ya kuwa na elimu  ndogo ya ufugaji wa  nyuki. Amesema

“Kwa sasa ufugaji wa nyuki unafaida kubwa sana katika kukuza uchumi wa jamii zetu hivyo niwapongeze kwa hatua mliyofikia mpaka sasa naamini kupitia elimu ya leo mtaenda kuongeza kipato chenu kupitia mazao ya nyuki kwa maana kwa hali ya sasa kilo moja ya asali ya nyuki inauzwa shilingi 10,000”

Kisha elimu hiyo iliendelea kutolewa kwa kutazama aina za nyuki na mazao yanayopatikana kupitia ufugaji wa nyuki ambapo amesema.

“Kwa kuanza tutazame aina za nyuki ambao wanapatikana katika mzinga au msafara wa nyuki ambapo kuna aina tatu za nyuki nao ni nyuki dume hawa wanakuwa 200 mpaka 400 katika kundi moja nao kazi yao ni kumpanda malkia tu , pia kuna nyuki malkia ambapo kwenye kundi anakuwa ni mmoja tu, na aina ya tatu ni nyuki vibarua ambao kazi yao ni kwenda kutafuta chakula”.

Na mazao yanayotokana na kilimo cha nyuki ni pamoja na asali ambayo kila mmoja anaifahamu kutokana na utamu wake pia zao lingine ni nta ambayo hutumika kutengenezea  sabuni, mafuta ya kupaka, mishumaa nk, zao lingine ni chavua/ sinde huu ni ungaunga unaopatikana kwenye maua nyuki hubeba kwenye mabawa nao unavunwa kwa kifaa maalumu husaidia sana kwa wenye matatizo ya macho, kisukali, pia kuna mkate wa nyuki, kuna sumu ya nyuki ambayo bado ipo kwenye utafiti ambayo inasemekana inawea kutibu kansa,  pia kuna zao linaitwa chakula cha malkia (royal jerry) ambayo huondoa hali ya ngozi kuzeeka

Nae mwenyekiti wa kikundi cha HAPA KAZI TU Ksavel Haule amemshukuru Afisa nyuki wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea kwa kuwapatia elimu juu ya ufugaji bora wa nyuki na kusema kwamba kupitia elimu hiyo itakwenda kuwanufaisha kwa kupata mazao yenye tija na kuongeza kipato cha mtu mmoja mmoja na kikundi kwa ujuml

a.

Matangazo

  • Tangazo la Kuitwa kwenye Usaili Julai 2022 June 22, 2022
  • TANGAZO LA FURSA ZA KAZI KATIKA SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA LA KUHUDUMIA WAKIMBIZI (UNHCR) August 26, 2022
  • TANGAZO LA KAZI October 13, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021. December 18, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • MKIMBIZA MBIO ZA MWENGE KITAIFA, AIPONGEZA HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA

    May 11, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI SONGEA DC, LIMEMSHUKURU MHE. RAIS NA WAZIRI WA AFYA KWA KUIHESHIMISHA HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA

    April 29, 2025
  • MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KULA YAMEANZA SONGEA DC

    April 29, 2025
  • MHE . JENISTA MHAGAMA AZINDUA MADARASA 27 NA VYOO MATUNDU 44, SONGEA DC

    March 16, 2025
  • Ona Zote

Video

NGOMA YA LIZOMBE
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Tunduru
  • Tovuti ya Halmashauri ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Nyasa

Tovuti Muhimu

  • Utumishi wa umma
  • Baraza la mitihani la Taifa
  • National Website
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya ajira
  • Tovuti kuu ya serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Songea

    Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea

    Simu: 2602320 / 2602176

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa