• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Songea District Council
Songea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Uongozi
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
  • Utawala
    • Eneo la Utawala
    • Braza la Madiwani
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
    • Vitengo
      • Internal Auditor
      • TEHAMA
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Albam ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi ya Afya

CHANJO ya Polio Songea DC yavuka lengo

Tarehe ya Kuwekwa: March 30th, 2022

Halmashauri ya wilaya ya songea mkoani Ruvuma imevuka lengo la kuchanja kwa asilimia 120 ya  chanjo ya polio ambayo inazui ugonjwa wa kupooza hasa kwa watoto wenye umri  chini ya miaka mitano ambao walipangwa kufikiwa.

Kaimu Mganga mkuu wa Halmashauri hiyo Dr.Geofrey Kihaule amesema kupitia zoezi la kampeni maalum ya kuthibiti maambukuzi ya ugonjwa wa polio  imefanikiwa kuchanja watoto 26321 kati ya watoto 21896 ambao walilengwa kufikiwa kupitia kampeni hiyo.

Dr Kihaule ametaja sababu ya kuendesha zoezi la kampeni ni kuimarisha kinga hasa kwa watoto wa wadogo chini ya umri wa miaka mitano  baada ya Nchi jirani ya Malawi kukumbwa na  mlipuko wa ugonjwa wa polio tatizo ambalo linaweza kufika Nchini hasa kwenye mikoa ya mpakani ya Tanzania na Malawi.

Dr. Kihaule ametoa wito kwa wananchi kuendelea kuwapeleka watoto katika vituo vya kutolea huduma iliwaweze kupata chanjo kwasababu zoezi la utoaji wa chanjo ya polio na chanjo nyingine ni endelevu licha ya siku nne za kampeni kutamatika machi 29/ 2022.   

Wakizungumza kwa nyakati tofauti wazazi na walezi wa Kata ya Mhukuru na Peramiho wametoa wito kwa walezi na wazazi ambao wanamwitikio hasi wa kuwachanja watoto wao waondoe fikra potofu na waunge mkono jitihada za serika katika kupambana na tatizo hilo.

“Ukiona watu wanatembea majumbani ujue changamoto tunayo ,tusisubiri hadi moto augue na ugonjwa hauna dawa tuwapeleke watoto wakapate matone”,amesema Salome Awonga mkazi wa kijiji cha Nakawale.

Chanjo ya polio ni chanjo inayotolewa kwa watoto wenye umri wa miaka sifuri  hadi miaka mitano ambayo inazuia ugonjwa wa kupooza hasa kwa watoto wadogo  wenye umri huo ingawa hata watoto wanaozidi umri huo wanaweza wakakumbwa na tatizo la kuugua polio.

Imeandaliwa na kuandikwa na

Jacquelen Clavery

Afisa Habari

Songea DC.

Matangazo

  • Tangazo la Kuitwa kwenye Usaili Julai 2022 June 22, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021. December 18, 2020
  • WAKALA WA KUKUSANYA USHURU WA MAZAO NDANI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA January 06, 2021
  • TANGAZO LA KAZI March 11, 2022
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • KAYA masikini za lalamikia utaratibu wa kulipwa kwa njia ya mitandao.

    April 20, 2022
  • RUWASA kutumia Milioni 848 kumaliza kero ya maji Kijiji cha Parangu

    April 03, 2022
  • CHANJO ya Polio Songea DC yavuka lengo

    March 30, 2022
  • RC Balozi Wilbert Ibuge azindua mikakati ya kuinua kiwango cha taaluma

    March 10, 2022
  • Ona Zote

Video

MADARASA ya UVIKO 19 Halmashauri ya Wilaya ya Songea
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Tunduru
  • Tovuti ya Halmashauri ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Nyasa

Tovuti Muhimu

  • Utumishi wa umma
  • Baraza la mitihani la Taifa
  • National Website
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya ajira
  • Tovuti kuu ya serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Songea

    Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea

    Simu: 2602320 / 2602176

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa