• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Songea District Council
Songea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Uongozi
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
  • Utawala
    • Eneo la Utawala
    • Braza la Madiwani
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
        • Maliasili
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ardhi
      • Fedha na Uhasibu
    • Vitengo
      • Internal Auditor
      • TEHAMA
      • TASAF
      • Ugavi na Manunuzi
      • Usafi Mazingira na Taka ngumu
      • Mawasiliano Serikalini
      • Maendeleo ya Miundombinu Mjini na Vijijini
      • Mawasiliano Serikalini
      • Sheria
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Albam ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi ya Afya
    • Boost
    • Swash
  • Madiwani
  • Tarafa
  • Fursa za Uwekezaji
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari

Idara ya Afya


Afya


DIVISHENI YA AFYA, USTAWI WA JAMII NA HUDUMA ZA LISHE

Lengo

Kutoa huduma bora za afya, ustawi wa jamii na lishe kwa ajili ya ustawi wa jamii.

Majukumu

Divisheni hii inatekeleza majukumu yafuatayo:-

  • Kusimamia utekelezaji wa sera, sheria na taratibu za utoaji wa huduma za afya, ustawi wa jamii na lishe;
  • Kuandaa mipango na program za muda mfupi na muda mrefu za sekta ya afya ndani ya Halmashauri;
  • Kukuza ushiriki wa wadau mbalimbali katika shughuli za afya, ustawi wa jamii na lishe;
  • Kuandaa na kuwasilisha taarifa zinazohusu huduma za afya, ustawi wa jamii na lishe kwa mamlaka husika.
  • Kuandaa mikakati ya kudhibiti magonjwa yanayoambukiza na yasiyoambukiza.
  • Kusimamia miradi ya afya, ustawi wa jamii na lishe na
  • Kusimamia kanzidata zinazohusu masuala ya huduma za afya, ustawi wa jamii na lishe.

Divisheni hii inaongozwa na Mkuu wa Divisheni ambaye pia ndiye Mganga Mkuu wa Halmashauri.

Divisheni hii ina seksheni tatu kama ifuatavyo:-

  • Seksheni ya Huduma za Afya
  • Seksheni ya Ustawi wa Jamii
  • Seksheni ya Huduma za Lishe
  •  
  • Seksheni ya Huduma za Afya

Seksheni hii inafanya shughuli zifuatazo:-

  • Kuchambua, kutafsiri na kusimamia utekelezaji wa sera, sheria na taratibu za huduma za afya;
  • Kushauri kuhusu kuratibu na kujenga uwezo kuhusu huduma za afya;
  • Kuandaa mipango na program za muda mfupi na za muda mrefu za huduma za afya;
  • Kutoa ushauri wa kitaalamu kwa wadau kuhusu masuala ya huduma za afya na
  • Kufanya ufuatiliaji na tathmini ya magonjwa, kuzuia magonjwa yasiyo ya kuambukiza, magonjwa ya kuambukiza na magonjwa yanayojitokeza katika vituo vyote, jamii na kwenye maingizo.

Seksheni hii inaongozwa na Afisa Anayehusika.

  • Seksheni ya Ustawi wa Jamii

Hii inatekeleza shughuli zifuatazo:-

  • Kuchambua, kutafsiri na kusimamia utekelezaji wa sera, sheria na taratibu za uboreshaji ustawi wa jamii;
  • Kuandaa mipango na miradi ya muda mfupi na ya muda mrefu ya ustawi wa jamii;
  • Kusimamia utekelezaji wa mipango na miradi ya ustawi wa jamii;
  • Kuratibu na kusimamia miradi yote inayohusu ustawi wa jamii; na
  • Kuandaa taarifa zinazohusu ustawi wa jamii.
  • Seksheni hii inaongozwa na Afisa Anayehusika.
  • Seksheni ya Huduma za Lishe
  • Hii inatekeleza shughuli zifuatazo:-
  • Kuchambua, kutafsiri na kusimamia utekelezaji wa sera, sheria na taratibu za uboreshaji ustawi wa jamii;
  • Kuandaa mipango na miradi ya muda mfupi na muda mrefu ya lishe,
  • Kusimamia utekelezaji wa mipango na miradi ya lishe;
  • Kuratibu na kusimamia miradi yote inayohusu lishe;
  • Kuandaa taarifa zinazohusu lishe ya jamii;
  • Kuhamasisha jamii kuhusu masuala ya lishe;
  • Kufuatilia na kutathmini utoaji wa huduma za lishe ndani ya Manispaa;
  • Kukusanya na kuchambua taarifa za huduma za lishe ; na
  • Kutoa huduma za lishe kwa watoto, watu wazima na watu wenye mahitaji maalum.


Huduma za Afya


1. Kitengo cha Kinga

Kitengo hiki shughuli zake kuu ni kama zifuatazo:

  • Utoaji wa chanjo
  • Ukaguzi na Uthibiti wa vyakula
  • Utoaji wa elimu ya afya kwa Umma
  • Udhibiti wa magonjwa ya kuambukiza
  • Ukaguzi wa majengo, viwanda, makazi na maeneo ya kazi.
  • Kuchukua hatua za kisheria kwa wananchi wanaokiuka kanuni za afya.

2 Kitengo cha Tiba

Shughuli za kitengo hiki ni:

  • Kutoa na kusimamia huduma za Tiba katika vituo vya Huduma za Afya.
  • Kuratibu na kusimamia utoaji wa huduma za tiba katika Vituo vya Binafsi na Mashirika yasiyo ya Kiserikali.
  • Upimaji afya na utoaji wa chanjo kwa Wajawazito na Watoto chini ya umri wa miaka 5.

Matangazo

  • Tangazo la Kuitwa kwenye Usaili Julai 2022 June 22, 2022
  • TANGAZO LA FURSA ZA KAZI KATIKA SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA LA KUHUDUMIA WAKIMBIZI (UNHCR) August 26, 2022
  • TANGAZO LA KAZI October 13, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021. December 18, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • MKIMBIZA MBIO ZA MWENGE KITAIFA, AIPONGEZA HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA

    May 11, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI SONGEA DC, LIMEMSHUKURU MHE. RAIS NA WAZIRI WA AFYA KWA KUIHESHIMISHA HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA

    April 29, 2025
  • MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KULA YAMEANZA SONGEA DC

    April 29, 2025
  • MHE . JENISTA MHAGAMA AZINDUA MADARASA 27 NA VYOO MATUNDU 44, SONGEA DC

    March 16, 2025
  • Ona Zote

Video

NGOMA YA LIZOMBE
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Tunduru
  • Tovuti ya Halmashauri ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Nyasa

Tovuti Muhimu

  • Utumishi wa umma
  • Baraza la mitihani la Taifa
  • National Website
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya ajira
  • Tovuti kuu ya serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Songea

    Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea

    Simu: 2602320 / 2602176

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa