• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Songea District Council
Songea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Uongozi
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
  • Utawala
    • Eneo la Utawala
    • Braza la Madiwani
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
        • Maliasili
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ardhi
      • Fedha na Uhasibu
    • Vitengo
      • Internal Auditor
      • TEHAMA
      • TASAF
      • Ugavi na Manunuzi
      • Usafi Mazingira na Taka ngumu
      • Mawasiliano Serikalini
      • Maendeleo ya Miundombinu Mjini na Vijijini
      • Mawasiliano Serikalini
      • Sheria
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Albam ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi ya Afya
    • Boost
    • Swash
  • Madiwani
  • Tarafa
  • Fursa za Uwekezaji
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari

Ardhi

Halmashauri ya wilaya ya Songea

Idara ya Ardhi

Malengo

Kuandaa namna bora ya matumizi ya Ardhi kwa kupanga na kurasimisha ardhi yake

Vitengo vilivyopo katika sekta ya Ardhi;

  • Usimamizi wa Ardhi na Utawala
  • Upimaji
  • Mipango miji
  • Uthamini

Shughuli zinazofanya na Idara hii, ni ugawaji wa hati katika maeneo ya Peramiho “A”, Peramiho “B” na Lundusi kwa viwanja ambavyo vimepimwa. Jumla ya hati mia mbili (200) zimetolewa

Shughuli hio pia iliambatana na viwanja vya OTC Lilambo kwa viwanja vya;

  • maeneo ya viwanda
  • maeneo ya makazi
  • maeneo ya makazi biashara

upimaji na urasimishaji Ardhi katika kata tatu na vijiji saba ambapo;

  • kata ya Peramiho (vijiji vya Peramiho “A”, Peramiho “B”, Lundusi na Nguvu moja)
  • kata ya Maposeni na
  • kata ya Parangu.

Utatuzi wa migogoro katika maeneo ya halmashauri ya wilaya ya Songea kwa maeneo na wahusika tofauti tofauti;

  • Ngahokora, Nakawale na Mbinga; muhalule wananchi wanaingilia mipaka ya vijiji kwa kutokujua Ofisi ya wilaya ilienda kutoa ufafanuzi juu ya mipaka ya vijiji husika tar 11/02/2023
  • The trusted of St. Benedict of Abbey dhidi ya Familia ya Mhagama; familia ya Mhagama walilalamikia Abasia kwa kuchukua eneo lililopo katika kijiji cha Mdunduwalo; mgogoro ulitatuliwa kwa kugundua kuwa eneo hilo limepimwa kuwa ni shamba na 133 lililomilikiwa kabla na ndugu Deogratius Mwoka na kufanyiwa uhamisho wa kisheria kwenda kwa Abasia ya peramiho
  • Mgogoro wa Matimira; Dhidi ya wakulima na wafugaji sababu ni kuuza ardhi kiholela na wananchi walielekezwa sharia na taratibu wanazotakiwa kufuata
  • Mgogoro wa mlima lihanje; katika kata ya kilagano kati ya hifadhi ya Maliasili na wananchi wa kilagano, mgazini na lugagara mgogoro uliwasilishwa kwa mawaziri wa wizara za Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi pamoja na vizara ya Maliasili na utalii.

Matangazo

  • Tangazo la Kuitwa kwenye Usaili Julai 2022 June 22, 2022
  • TANGAZO LA FURSA ZA KAZI KATIKA SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA LA KUHUDUMIA WAKIMBIZI (UNHCR) August 26, 2022
  • TANGAZO LA KAZI October 13, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021. December 18, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA YAPONGEZWA KWA KUPATA HATI SAFI KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2025

    June 18, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA YATINGA KWA KISHINDO UMISETA TAIFA

    June 18, 2025
  • WAKULIMA WAASWA KUTUMIA MBINU SAHIHI ZA UVUNAJI WA MAHINDI ILI KUPUNGUZA HASARA

    June 17, 2025
  • Siku ya Mtoto wa Afrika: “Songea Dc yalenga kuboresha mazingira ya makuzi bora kwa mtoto kijamii, kielimu na kiafya"

    June 16, 2025
  • Ona Zote

Video

NGOMA YA LIZOMBE
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Tunduru
  • Tovuti ya Halmashauri ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Nyasa

Tovuti Muhimu

  • Utumishi wa umma
  • Baraza la mitihani la Taifa
  • National Website
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya ajira
  • Tovuti kuu ya serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Songea

    Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea

    Simu: 2602320 / 2602176

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa