• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Songea District Council
Songea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Uongozi
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
  • Utawala
    • Eneo la Utawala
    • Braza la Madiwani
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
    • Vitengo
      • Internal Auditor
      • TEHAMA
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Albam ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi ya Afya

"WATUMISHI wa umma zingatieni uadilifu kwenye kazi ",amesema Mwakipesile

Tarehe ya Kuwekwa: December 30th, 2020

Mkurugenzi Msaidizi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora (MUUUB) Jusseim Mwakipesile amewataka watumishi wa umma kuzingatia maadili katika utumishi wao na kutambua madhara ya ukiukwaji wa maadili.

Mwakipesile ameyasema hayo wakati akitoa mafunzo ya maadili na ushughulikiaji wa malalamiko ya wananchi katika utumishi wa umma yaliyofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea katika mji mdogo wa Peramiho.

 Mwakipesile amesema Watumishi wa umma katika utumishi wao wa kila siku wanatakiwa kuzingatia maadili na ukiukwaji wa maadili ni matokeo hasi katika kufikisha huduma kwa wananchi pamoja na kuleta madhara ya kuzalisha wataalam wasio na viwango vinavyotakiwa,matumizi mabaya ya rasilimali za nchi na vifo vinanavyotokana na sababu hiyo.

Mwakipisele ametaja baadhi ya madhara yanayotokana na ukiukwaji wa maadili ni pamoja na ufisadi,uroho na ubinafsi,unyapara mahala pakazi unao fanywa na baadhi ya vionngozi,usiri wa umiliki mali ,mgongano wa maslahi na udanganyifu.

“Watumishi wote wanafanyakazi kwa niaba ya Rais,na Rais ndiyo msimamizi wa maadili kutozingztia maadili ni kuidharirisha Serikali”

Aidha amewataka viongozi na wakuu wa idara kusoma katiba ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania,miongozo, na kanuni mbali mbali za utumishi wa umma ili wanapofanya maamuzi juu ya jambo wawena uhakika na wanachokifanya pasipo toa upendeleo  au kumwonea mtu.

Kwa upande wake Afisa Habari mwandamizi wa OR-MUUUB Rocky Setembo amesema umuhimu wa kushughulikia malalamiko kwa ufanisi  sehemu ya kazi utaimarisha usikikivu,uwajibikaji wa utumishi na utaboresha utoaji wa huduma bora kwa wananchi.

Ametaja vyanzo vya malalamiko kuwa ni taratibu zinazo kinzana zilizoko katika sheria,kanuni na miongozo,taarifa kukosa taarifa sahihi au kutopata kabisa,watumishi kutoa majibu ya kukutisha tamaa yanayopelekea wateja kujenga dhana potofu,vifaa kutokidhi mahitaji ua kutokuwepo,wateja kutozingatia utaratibu uliowekwa,umri ,wivu mila na desturi.

Imeandikwa na,

Jacquelen Clavery.

Songea DC.

 

Matangazo

  • WAKALA WA KUKUSANYA USHURU WA MAZAO NDANI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA January 06, 2021
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021. December 18, 2020
  • maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya uwekezaji July 23, 2018
  • TANGAZO LA KUUZA VIWANJA June 03, 2019
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • TASAF Kuzifikia kaya Masikini zaidi ya Milioni 1.4 Nchini

    March 04, 2021
  • ARDHI Ruvuma yavuka lengo la ukusanyaji maduhuli ya serikali

    March 01, 2021
  • WAZIRI MKUU AAGIZA UHIFADHI WA HISTORIA WA KIUTAMADUNI

    February 27, 2021
  • WIZARA ya Maliasili na Utali ya anza kutekeleza agizo la Rais

    February 26, 2021
  • Ona Zote

Video

FAHAMU RATIBA ZA USAFIRI WA NDEGE SONGEA HADI DAR
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Tunduru
  • Tovuti ya Halmashauri ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Nyasa

Tovuti Muhimu

  • Utumishi wa umma
  • Baraza la mitihani la Taifa
  • National Website
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya ajira
  • Tovuti kuu ya serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Songea

    Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea

    Simu: 2602320 / 2602176

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa