• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Songea District Council
Songea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Uongozi
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
  • Utawala
    • Eneo la Utawala
    • Braza la Madiwani
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
    • Vitengo
      • Internal Auditor
      • TEHAMA
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Albam ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi ya Afya

WANAFUNZI wote 2082 waliochaguliwa kidato cha kwanza Songea kuanza masomo Januari

Tarehe ya Kuwekwa: December 28th, 2020

 Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma Simoni Bulenganija amesema watoto wote 2082 waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza 2021 wataanza masomo Januari 2021.

Bulenganija ametoa taarifa hiyo wakati wa mahojiano maalum yaliyofanyika ofisini kwake Lundusi mji Mdogo wa Peramiho.

“Miundombinu ya vyumba vya madarasa,madawati na vyoo vinatosheleza kwa wanafunzi wote waliochaguliwa,” amesema Bulenganija

Ametoa rai kwa wazazi na walezi kuhakikisha mara baada ya shule kufunguliwa watoto wote waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza  wanaripoti  katika shuleni walizopangiwa kadiri ya maelekezo ya serikali.

Bulenganija amesema miundo mbinu ya kufundishia na kujifunzia inakidhi mahitaji ,hivyo watoto wote waliochaguliwa wataanza kidato cha kwanza pasipo shaka yoyote na kwamba wazazi na walezi  wafanye maandalizi ya kuwawezesha watoto kuripoti shuleni na kuanza masomo.

Hata hivyo amesema serikali inaendelea na ujenzi wa miundo mbinu ya mabweni  na vyumba vya madarasa katika shule za Sekondari ya Maposeni,Mpitimbi,Namihoro,Matimira Mbinga mhalule na kilagano na kwamba kukamilika kwa ujenzi wa miundo mbinu hiyo kutaongeza ziada ya miundo mbinu katika Halmashauri hiyo.

Kwa upande wake  Afisa Elimu wa sekondari Bumi Kasege amesema katika kuboresha mazingira ya kufundishia na kujifunzia na kwamba Idara yake imepanga mikakati ya kusimamia na kufanya ufuatiliaji wa elimu mashuleni na kwa kushirikiana na wadau wa elimu.

Kasege amesema kati ya wanafunzi waliochaguliwa wavulana ni 1013,wasichana ni 1069.

Imeandikwa na

Jacquelen Clavery

Songea DC  

 

Matangazo

  • WAKALA WA KUKUSANYA USHURU WA MAZAO NDANI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA January 06, 2021
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021. December 18, 2020
  • maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya uwekezaji July 23, 2018
  • TANGAZO LA KUUZA VIWANJA June 03, 2019
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • TASAF Kuzifikia kaya Masikini zaidi ya Milioni 1.4 Nchini

    March 04, 2021
  • ARDHI Ruvuma yavuka lengo la ukusanyaji maduhuli ya serikali

    March 01, 2021
  • WAZIRI MKUU AAGIZA UHIFADHI WA HISTORIA WA KIUTAMADUNI

    February 27, 2021
  • WIZARA ya Maliasili na Utali ya anza kutekeleza agizo la Rais

    February 26, 2021
  • Ona Zote

Video

FAHAMU RATIBA ZA USAFIRI WA NDEGE SONGEA HADI DAR
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Tunduru
  • Tovuti ya Halmashauri ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Nyasa

Tovuti Muhimu

  • Utumishi wa umma
  • Baraza la mitihani la Taifa
  • National Website
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya ajira
  • Tovuti kuu ya serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Songea

    Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea

    Simu: 2602320 / 2602176

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa