• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Songea District Council
Songea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Uongozi
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
  • Utawala
    • Eneo la Utawala
    • Braza la Madiwani
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
    • Vitengo
      • Internal Auditor
      • TEHAMA
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Albam ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi ya Afya

wananchi watakiwa kujitolea

Tarehe ya Kuwekwa: June 18th, 2018

Wananchi watakiwa kujitolea.

Wananchi wametakiwa kuendelea kujitolea katika ujenzi wa miradi pamoja na changamoto zinazo jitokeza katika utekelezaji wake

Rai hiyo imetolewa na kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru kitaifa Bw Charles Kabeho wakati akiagana wanachi wa mkoa wa Ruvuma, Wilayani Tunduru mara baada ya mwenge huo kumaliza mbio zake hivi karibu.

Bw Kabeho amewataka wananchi kuendelea kujitolea nguvu zao katika kujenga miradi ya maendeleo pamoja na changamoto zinazojitokeza katika utekelezaji wake ikiwemo baadhi ya wataalam kutotimiza majukumu yao ya kusimamia kazi zao

Amesema kila mmoja atimize wajibu wake ili kwapamoja tuweze kujenga nchi yetu na watendaji wa serikali wahakikishe wanafanya kazi kwa weledi na kutatua changamoto zinazo wakabili wanachi ikiwemo  maji,barabara,afya nk.

Aidha amewataka wazazi na walezi kutimiza majukumu yao pamoja na kuwapa chakula na mahitaji ya muhimu watoto wao katika hatua zote za kujifunza kuanzia hatua ya awali mpaka mwisho

Imeandaliwa na

Jacquelen Clavery- Habari-TEHEMA

Matangazo

  • maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya uwekezaji July 23, 2018
  • Zabuni September 21, 2018
  • Tangazo la Mafundi wa ujenzi wa hospitali ya wilaya Songea. January 12, 2019
  • Mapokezi ya fedha ya ujenzi wa kituo cha afya Muhukuru June 01, 2018
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • KAMATI ZATAKIWA KUWA MAKINI KATIKA KUSIMAMIA UJENZI

    February 14, 2019
  • kushuka kwa ufaulu

    February 14, 2019
  • CHANGAMOTO za utumishi katika Idara ya Mahakama

    February 07, 2019
  • HALMASHAURI ya Wilaya ya Songea yapitisha makisio ya bajeti ya sh.bilioni 25.5

    February 07, 2019
  • Ona Zote

Video

WATU 120 Songea waona baada ya upasuaji
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Tunduru
  • Tovuti ya Halmashauri ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Nyasa

Tovuti Muhimu

  • Utumishi wa umma
  • Baraza la mitihani la Taifa
  • National Website
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya ajira
  • Tovuti kuu ya serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Songea

    Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea

    Simu: 2602320 / 2602176

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa