• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Songea District Council
Songea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Uongozi
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
  • Utawala
    • Eneo la Utawala
    • Braza la Madiwani
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
    • Vitengo
      • Internal Auditor
      • TEHAMA
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Albam ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi ya Afya

ukatili dhidi ya wanawake na watoto

Tarehe ya Kuwekwa: April 20th, 2018

Ukatili dhidi ya wanawake na watoto.

Jamii imetakiwa kutambua vitendo vya  ukatili dhidi ya wanawake na watoto vinaendelea kushamiri katika maeneo yetu tunayoishi.

Hayo yamebainishwa katika mafunzo ya siku tatu ya kamati ya ulinzi wa wanawake na watoto katika Mamlaka za Serikali za Mitaaa yaliyo fanyika hivi karibuni katika ukumbi wa Maliasili mjini Songea.

Jamii  imetakiwa kutambua kwamba vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake na watoto vinaendelea kushamiri hivyo kila mwananchi anawajibu wakupambana katika kupinga ukatili dhidi ya wanawake na watoto mahali alipo bila kujajili itikadi yake,umri hata kabila lake.

Afisa Maendeleo ya Jamii wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea Bw. Martin Mtani ametaja baadhi ya aina ya ukatili ambao hufanyiwa wanawake na watoto ikiwa ni ubakaji ,ulawiti,vipigo ,ukatili wahisia ,  na matusi

Aidha, Bw Mtani ameyataja madhara ya ukatili ni pamoja na vifo kwakusababishwa na vigo na manyanyaso,ubakwaji,mimba za utotoni,magonjwa yakiwemo ya kuambukizwa kuathirika kisaikolojia,visasi na chuki.

Amesema kufikia mwaka 2022 serikali kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo,na jamii wanahakikisha tatizo la ukatili dhidi ya wanawake na watoto linapungua kwa asilimia 50 lengo likiwa kujenga jamii yenye amani na upendo na kuleta ustawi katika maisha.

Maeneo ya utekelezaji wa mpango waTaifa katika kupinga vitendo hivyo ni kuimarisha uchumi wa kaya,mila na destuli,malezi,mazingira salama mashuleni na stadi za kazi na maeneo mengine ni usalama maeneo ya umma kwa wanawake na watoto na utoaji huduma kwa wahanga wa ukatili.

Wanawake na watoto  wameipongeza serikali kwa kuanzisha kamati hiyo kwani kamati hiyo itasaidia kutatua changamoto zinazowa kabili katika jamii na wao kubaki katika hali ya usalama.   

Imeandaliwa na afisa habari,mawasiliano na mahusiano serikalini

SONGEA DC

Matangazo

  • maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya uwekezaji July 23, 2018
  • MAPOKEZI YA MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2019 September 03, 2019
  • TANGAZO LA Mbio za Mwenge wa Uhuru Septemba 26,2019 September 17, 2019
  • TANGAZO LA KUUZA VIWANJA June 03, 2019
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Kiapo kwa Wenyeviti

    December 02, 2019
  • UJENZI wa hospitali ya Wilaya Songea wafikia asilimia 90

    October 30, 2019
  • TASAF KUWAFIKIA WALENGWA KWA ASILIMIAMOJA

    October 10, 2019
  • WAKUU wa Wilaya tano za Mkoa wa Ruvuma

    October 04, 2019
  • Ona Zote

Video

MWENGE wa Uhuru wazindua mradi wa kisima cha jadi Songea
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Tunduru
  • Tovuti ya Halmashauri ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Nyasa

Tovuti Muhimu

  • Utumishi wa umma
  • Baraza la mitihani la Taifa
  • National Website
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya ajira
  • Tovuti kuu ya serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Songea

    Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea

    Simu: 2602320 / 2602176

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa