• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Songea District Council
Songea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Uongozi
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
  • Utawala
    • Eneo la Utawala
    • Braza la Madiwani
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
    • Vitengo
      • Internal Auditor
      • TEHAMA
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Albam ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi ya Afya

ujenzi wa shule Ulamboni

Tarehe ya Kuwekwa: October 2nd, 2018

Ujenzi wa shule

Wananchi wa kitongoji cha Ulamboni kijiji cha kizuka wanaendelea na kazi ya ujenzi wa vyumba vya madarasa vinne na ofisi mbili baada ya kukamilisha vyumba viwili ambavyo vinatumika.

Kaimu Afisa Elimu wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea Bw Abdalah Mturi ametoa ufafanuzi huo kwa kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Bw Joel Mbewa pamoja na Uongozi wa idara ya Elimu Mkoa katika ziara ya katembelea na kukagua ujenzi wa mkondo wa shule ya Ulamboni unavyoendelea.

Bw Mturi amesema wanachi wa kitongoji cha Ulamboni Kijiji cha Kizuka kata ya Kizuka waliahamasishana kuanza ujenzi wa mkondo shule ya  kwa kuanza na darasa la MEMKWA mwaka 2015 likiwa na wanafuzi 72 wakitumia banda kama darasa na mwaka 2016 walianza ujenzi wa vyumba viwili na ofisi moja ya walimu na kukamilisha kwa Jitihada za Mbunge wa Jimbo la Peramiho Mhe. Jenista Mhagama, Halmashauriya Wilaya ya Songea na uongozi wa kijiji cha kizuka.

Bw Mturi amesema kwasasa wanafuzi wanasomea ndani ya vyumba vya madarasa jumla yao wanafunzi 218 wa darasa la kwanza mpaka la tano ina walimu wawili na kwakadiri ya miongozo ya Wizara ya Elimu Sayansi naTeknolojia wanakidhi mahitaji ya ufundishaji.

Amesema kwasasa wanaendele na ujenzi wa vyumba vinne vya madarasa na ofisi mbili ambavyo vinatarajia kukamilika katika hatua ya uezekaji mwezi Novemba 2018, ujenzi huo unaenda sambamba na ujenzi wa vyoo bora  vyenye matundu 8 vikiwa na mgawanyo wawavulana matundu 4 na wasichana matundu 4

Aidha Bw Mbewa amemwagiza Mkurugenzi Mtendajiwa Halmashauri ya Wilaya ya Songea anapeleka vifaa vya kiwandani mapema kwaajili ya ukamilishajiwa majengo ikiwemo choo.

Mahitaji ya huduma za jamii kama vile zahanati , vituo vya afya, shule, maji na miundombinu ya barabara ya naongezeka kufuatia hali ya jamii kuhama hama makazi yao ya awali na kufuata maeneo ya kulima na kusababisha adha kwa watoto kusoma umbali mrefu.

Mkondo wa shule Ulamboni ni shule shikizi Ikiwa imegawanywa toka shule ya msingi Kizuka ambapo kabla ya madarasa kujengwa watoto walikuwa wakisoma shule ya msingi Kizuka na Mbiro umbali wa kilomita 8 kutoka kitongoji cha Ulamboni .

JACQUELEN CLAVERY -TEHAMA

Matangazo

  • maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya uwekezaji July 23, 2018
  • Zabuni September 21, 2018
  • Tangazo la Mafundi wa ujenzi wa hospitali ya wilaya Songea. January 12, 2019
  • Mapokezi ya fedha ya ujenzi wa kituo cha afya Muhukuru June 01, 2018
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • KAMATI ZATAKIWA KUWA MAKINI KATIKA KUSIMAMIA UJENZI

    February 14, 2019
  • kushuka kwa ufaulu

    February 14, 2019
  • CHANGAMOTO za utumishi katika Idara ya Mahakama

    February 07, 2019
  • HALMASHAURI ya Wilaya ya Songea yapitisha makisio ya bajeti ya sh.bilioni 25.5

    February 07, 2019
  • Ona Zote

Video

WATU 120 Songea waona baada ya upasuaji
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Tunduru
  • Tovuti ya Halmashauri ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Nyasa

Tovuti Muhimu

  • Utumishi wa umma
  • Baraza la mitihani la Taifa
  • National Website
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya ajira
  • Tovuti kuu ya serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Songea

    Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea

    Simu: 2602320 / 2602176

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa