• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Songea District Council
Songea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Uongozi
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
  • Utawala
    • Eneo la Utawala
    • Braza la Madiwani
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
    • Vitengo
      • Internal Auditor
      • TEHAMA
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Albam ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi ya Afya

DC. Mgema marufuku kutumia maeneo ya shule kuendesha shughuli za mnada

Tarehe ya Kuwekwa: April 20th, 2020

Mkuu wa Wilaya ya Songea Pololeti  Mgema amepiga marufuku kuendesha mnada  eneo la shule ya Msingi Kivukoni katika kijiji cha Nakawale -  Mkenda badala yake watumie soko la kimataifa la Nakawale  -Mkenda lililojengwa mpakani mwa Nchi ya Tanzania na Msumbiji.

Mgema ametoa kauli hiyo alipofanya ziara ya kikazi ya kutembelea  mpaka wa Tanzania na Msumbiji  na Soko la Kimataifa la Nakawale – Mkenda kwa lengo la kutoa msisitizo wa usalama wa  mpaka huo kufuatia ugojwa wa corona, hivi karibu.

“Serikali imewajengea soko  mnataka Serikali iwaletee bidhaa ,Serikali haifanyi biashara” Alisema Mgema.

Amewataka wananchi kuhamishia bidhaa zao katika soko hilo na shughuli zote za mnada, na kupiga marufuku kutumia eneo la shule kufanyia shughuli za mnada ilikuhakikisha soko hilolinafanya kazi iliyokusudiwa .

Wakiongea kwa niaba ya wananchi baadhi ya viongozi wa kijiji hicho wamemshukuru Mkuu wa Wilaya huyo kwa kuwapa ufafanuzi wa matumizi ya soko hilo kwani wao walikuwa hawaelewi kama wanatakiwa kutumia soko hilo,huku wakibaki kuliangalia tu.

Soko la Kimataifa la Mkenda limekamilika kwa asilimia kubwa huku tatizo likiwa niuwekaji wa miundo mbinu ya maji

Aidha wamemwambia Mkuu huyo wa Wilaya kuwa wanakabiliwa na janga la njaa baada ya mazao yao kusombwa na maji kufutia mfua kubwa zilizonyesha kuanzia mwezi Novemba  2019 hadi mwezi machi 2020.

Changamoto nyingine ni ukosefu wa mawasiliano ya simu jambo linalowapa shida kutoa taarifa kwa mamlaka zinahusika pindi wanapopata matatizo

JACQUELEN CLAVERY

AFISA HABARI SONGEA DC

Matangazo

  • WAKALA WA KUKUSANYA USHURU WA MAZAO NDANI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA January 06, 2021
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021. December 18, 2020
  • maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya uwekezaji July 23, 2018
  • TANGAZO LA KUUZA VIWANJA June 03, 2019
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • HAKUNA mwanafunzi atakateye baki nyumbani 2021

    January 13, 2021
  • "WATUMISHI wa umma zingatieni uadilifu kwenye kazi ",amesema Mwakipesile

    December 30, 2020
  • WANAFUNZI wote 2082 waliochaguliwa kidato cha kwanza Songea kuanza masomo Januari

    December 28, 2020
  • DC aagiza RUWASA kutoa Elimu kwa wanachi kuhusu umuhimu wa vyanzo vya maji

    December 17, 2020
  • Ona Zote

Video

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma akagua mradi wa maji Peramiho
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Tunduru
  • Tovuti ya Halmashauri ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Nyasa

Tovuti Muhimu

  • Utumishi wa umma
  • Baraza la mitihani la Taifa
  • National Website
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya ajira
  • Tovuti kuu ya serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Songea

    Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea

    Simu: 2602320 / 2602176

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa